Yemen yaingia rasmi vitani kwa maslahi ya Iran

Yemen imetangaza rasmi kuingia katika vita kwa maslahi ya Iran, na sasa kila mtu ana wasiwasi kuhusu muelekeo wa vita hivi huku Wamagharibi na waungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel wakiingiwa na wasi wasi mkubwa kwamba huenda uchumi wa utawala ukabanwa na kupata madhara makubwa jeshi la Yemen litaamua kufunga na njia muhimu ya…

Read More

Mgambo wadaiwa kumuua raia Mwanza

Mwanza/Dar. Utata umeibuka kuhusu taarifa ya chanzo cha kifo cha Rashid Nyandonga (31), kufuatia ukinzania baina ya kinachoelezwa na Polisi Mkoa wa Mwanza dhidi ya maelezo ya familia na mashuhuda. Wakati polisi wakisema amefariki dunia baada ya kuishiwa nguvu akiwa mikononi mwa askari mgambo, familia na mashuhuda wamedai kuwa, umauti wake umesababishwa na kipigo cha…

Read More

Aliyekuwa Anawauza Wakenya Kujiunga Na Jeshi Urusi Akamatwa

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Idara ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kuwarubuni raia kujiunga na jeshi la Urusi kupitia ahadi za kazi bandia nje ya nchi, tukio linaloibua hofu mpya kuhusu biashara haramu ya binadamu inayovuka mipaka ya mataifa. Katika taarifa…

Read More

Stanbic Yaandaa Futari Kuimarisha Mahusiano na Wadau

Benki ya Stanbic imeandaa futari maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya kushiriki baraka za mwezi mtukufu wa Ramadan pamoja na kuimarisha mahusiano na wadau wake. Tukio hilo liliwakutanisha viongozi wa dini, viongozi wa benki pamoja na wateja katika mazingira ya mshikamano na tafakari ya maadili ya kijamii yanayohimizwa katika kipindi…

Read More