FCT: UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA
KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani (FCT) kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika leo Februari 27,2026 jijini Dodoma. …… KATIBU Tawala Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Mwajabu Nyamkomora, amesema uwajibikaji na uaminifu ni miongoni…