‘Skyrocketing’ inahitaji kupita ufadhili wa Sudan, mgomo wa Ukraine wasasisha, usalama wa maji duniani – Masuala ya Ulimwenguni

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Misaada ya Kibinadamu Denise Brown amerejea jijini na timu kuu, kuashiria kujitolea upya kuwafikia wale wanaohitaji. Haya yanajiri huku zaidi ya watu milioni 1.6 wakirejea katika mji mkuu hivi majuzi, licha ya tishio la kudumu la miundombinu iliyoharibiwa na mabaki ya vita. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane…

Read More

REA IMEBEBA AJENDA YA MAENDELEO YA WATU WA VIJIJINI MKOANI GEITA – MWENYEKITI KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusambaza umeme ili kuhakikisha wananchi wanaoishi pembezoni mwa miji na vijijini wanapata huduma hiyo muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akizungumzia mafanikio ya Miradi ya kusambaza umeme…

Read More

Kwa Nini Penzi Lenu Halina Raha Kama Mwanzo? Chanzo Kipo Hapa

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima buheri wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku kama kawaida.  Mimi namshukuru Mungu ambaye amenipa uwezo wa kuandika makala haya ambayo naamini yatakuwa ni yenye faida kwa wale watakaobahatika kuisoma. Ni kuhusu mapenzi ambapo leo nataka kuzungumzia yanayosababisha…

Read More

Straika JKU akoleza ZPL moto mbio za ubingwa

SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Hilali Nassor amesema JKU ipo Ligi Kuu Zanzibar kwa ajili ya kupambania ubingwa na sio kushiriki. Alisema ndio maana kila mchezaji wa timu hiyo kipaumbele chake…

Read More

DMO Kahama azomewa, Kihongosi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More

Mvua zaharibu barabara, RC Mtambi aomba fedha za dharura

Musoma. Serikali ya Mkoa wa Mara imeomba Sh16 bilioni kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kugharamia matengenezo makubwa ya dharura ya barabara zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) mkoani humo. Ombi hilo limechochewa na uharibifu mkubwa wa barabara uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, ambazo zimeelezwa kuwa hazikutarajiwa kwa…

Read More

Mafuriko ya mvua yaziacha kaya 14 bila makazi Moshi

Moshi. Kaya 14 zenye jumla ya watu 39 katika Mtaa wa Viwanda, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa zaidi ya saa sita usiku wa kuamkia Machi 2, 2026. Mbali na kupoteza makazi, familia hizo zinakabiliwa na uhaba wa…

Read More

Ndege ya Kujaza Mafuta ya Marekani Yaanguka Magharibi mwa Iraq

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa ndege yake ya kijeshi imeanguka nchini Iraq. Kwa mujibu wa taarifa ya U.S. Central Command, ndege ya kujaza mafuta angani aina ya Boeing KC-135 Stratotanker ilianguka baada ya kutokea tukio lililohusisha ndege mbili angani. Jeshi hilo limesema tukio hilo halihusiani na mashambulizi ya…

Read More