Benki ya Absa kuendelea kushiriki mikakati ya kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Shirika la World Vision Tanzania, Bw. James Anditi, wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa miaka mitano wa Jubilei (2026–2030) wa shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, unaolenga kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini….