Talaka yenu inawafunza nini watoto wenu?

Canada. Inakuwaje mtu anakuwa kiongozi mashuhuri, msomi aliyebobea au tajiri wa kutajwa, lakini anashindwa kuhimili ndoa yake?  Je, ni suala la majaliwa, mipango mibovu au ukweli mchungu kwamba binadamu hawezi kuwa na kila kitu kwa wakati mmoja?  Maswali haya yameendelea kuibuka kila tunaposikia habari za talaka katika familia zetu, hasa pale wahusika wanapokuwa watu wa…

Read More

JKT Queens inataka mechi tatu

KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Abdallah Kessy amesema anapanga kucheza mechi za kirafiki zisizopungua tatu kabla ya kurejea kwa ligi ili kuipima timu na kujua changamoto. Kessy alisema maandalizi hayo ni muhimu kwa kikosi hicho baada ya mapumziko ya ligi na michezo ya kirafiki itampa picha halisi ya kiwango cha wachezaji wake kabla ya kurejea…

Read More

Ofisa wa Polisi jela miaka miwili kwa mauaji

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Rogers Mmari (F.4987) wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kwenda jela kwa miaka miwili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia. Tukio hilo lilitokea Desemba 14, 2024 Mtaa wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa ambapo Mshtakiwa huyo alimpiga marehemu Nashoni Kiyeyeu…

Read More

Kariakoo Derby Kupigwa Amaan Complex Leo Usiku

Global Publishers March 1, 2026 0 Comments Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Zanzibar usiku wa leo wakati watani wa jadi watakapokutana katika pambano la Kariakoo Derby. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Amaan Stadium (Amaan Complex) kuanzia saa 2:15 usiku, huku presha ikiwa kubwa kwa kila upande kusaka ushindi muhimu….

Read More

Zaidi ya asilimia 70 wafanyakazi Muhimbili ni wanawake

Dar es Salaam. Zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni wanawake, hatua inayodhihirisha nafasi kubwa waliyonayo katika utoaji wa huduma za afya nchini. Takwimu hii ina ujumbe mpana kwa Tanzania siyo tu kwenye afya, bali maendeleo ya Taifa kwa ujumla, ikionyesha wazi kuwa wanawake ndio uti wa mgongo wa sekta…

Read More