TAKUKURU Temeke llivyochukulia Hatua Kero ya Wananchi Buza

Bukos Richard February 27, 2026 0 Comments Dar es Salaam: 27 Machi 2026, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU wa Temeke jana umetoa taarifa kufuatia kero ya Wananchi wa Buza inayosambaa mitandaoni.Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari jana Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa TAKUKURU Temeke, Holle Makungu amesema kero ya wananchi…

Read More

Waumini Wajitokeza Kumuaga Kardinali Pengo Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – Video

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Waumini na viongozi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa Polycarp Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar es Salaam. Ibada ya kuaga imeambatana na huzuni, vilio na sala maalum za kumuombea marehemu, huku waumini wakikumbuka mchango wake mkubwa katika kuliongoza Kanisa Katoliki na kulihudumia taifa…

Read More