Dalali wa Mahakama akamatwa, agizo la Dk Mwigulu halijatekelezwa

Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za mfanyabiashara wa Arusha, Josephine Shirima, mali hizo bado hazijarudishwa huku Jeshi la Polisi likimshikilia dalali wa Mahakama anayedaiwa kuhusika katika kuchukuliwa kwa mali hizo. Aidha, Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, aliyekuwa anashikiliwa na polisi kwa…

Read More

Watoto 162,099 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio

Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vincent Anney, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanzia miaka sifuri hadi 10 wanapatiwa chanjo ya matone ya polio ili kuwalinda dhidi ya ugonjwa huo, unaoweza kusababisha ulemavu wa kudumu. Rai hiyo imetolewa leo Machi 24, 2026 wakati akizindua rasmi kampeni ya…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More

Neno la Cabaye akiuguza goti

KIUNGO wa Tanzania Prisons, Abdallah Masoud ‘Cabaye’ ambaye kwa sasa yupo nje ya uwanja akiuguza jeraha la goti ameweka wazi kuwa bado ana matumaini makubwa ya kurejea mapema kuisaidia timu hiyo kupambana na hatari ya kushuka daraja. Cabaye alipata jeraha hilo Novemba 26, 2025 wakati Tanzania Prisons ilipokubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Fountain…

Read More

Mwanza, Singida kuna ngoma nzito Ligi Kuu

BAADA ya hekaheka za Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar, uhondo wa Ligi Kuu Bara umehamia katika miji ya Mwanza na Singida wakati mechi mbili za Ligi Kuu zikitarajiwa kupigwa leo. Simba na Yanga ziliumana juzi katika pambano la kwanza la Ligi Kuu kwa msimu huu ambapo bila…

Read More

Bahati Yako Ipo Meridianbet Leo

JE unajua kuwa bahati yako ipo Meridianbet siku ya leo? Wakali hawa wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa ingia kwenye akaunti yako, weka dau na ubashiri mechi za leo uibuke na Mamilioni. Ligi pendwa Duniani EPL, kurindima simu ya leo Crystal Palace atumana vikali dhidi ya Leeds United huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa…

Read More