Ukiiweza ndoa, kwa nini mengine yakushinde?
Katika maisha ya binadamu, kuna mambo mengi ya kufanya na kutofanya. Kwa vile hii ni safu ya ndoa, leo, tutaangalia mafanikio na maanguko katika ndoa. Hapa, kuna swali huwa linatushughulisha sisi kama wanandoa tena wa muda si haba. Je, inakuwaje baadhi ya wanandoa huweza kufanikisha mambo yanayowashinda wengi katika ndoa wakati wengine wakishindwa kabisa japo…