‘Nchi Inatumia AI ya Kuzalisha kwa Uhalisia wa Mhandisi Kupitia Mwangaza wa Habari wa Gesi’ – Masuala ya Ulimwenguni

na CIVICUS Jumatano, Machi 18, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili ukandamizaji unaowezeshwa na teknolojia wa China na Fergus Ryan, Mchambuzi Mkuu katika Taasisi ya Sera ya Mikakati ya Australia (ASPI), ambapo anabobea katika jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyounda mazingira ya habari ya kimataifa kupitia udhibiti, propaganda na utawala wa jukwaa. Utafiti wake…

Read More

REA YAANZA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU 8,424 KIGOMA

Wakala wa Nishati Vijijini imeanza utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la zaidi ya asilimia themanini 80% ya watanzania ifikapo mwaka 2034 wawe wanatumia nishati safi ya kupikia nishati ambayo ni salama kwa mtumiaji na rafiki kwa mazingira. Akizungumza wakati wa ugawaji wa majiko katika Wilaya Kibondo…

Read More

Nsajigwa: Azam? Waje tumalizane | Mwanaspoti

BAADA ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Shedrack Nsajigwa amesema yuko tayari kuikabili Azam FC, akieleza jinsi alivyoibadili timu hiyo ndani ya uwanja kurejesha ushindi kikosini. Nsajigwa alitambulishwa kikosini humo akichukua mikoba ya Zedekiah Otieno raia wa Kenya aliyesitishiwa kibarua chake Februari 25, 2026 kutokana na matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi Kuu. Akizungumza leo…

Read More

FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa moja. Kauli hii inatokana na hofu kwamba tabia hiyo inaweza kuashiria kauli zisizofaa, hasa zinazohusiana na ubaguzi wa rangi. Pendekezo la Infantino limekuja baada ya tukio lililomkumba nyota…

Read More

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA YA KUFANYA MABORESHO YA SHERIA YA MAPATO YA BAADHI TA MIFUKO

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 11, 2026 ameongoza Kikao cha kujadili Mapendekezo ya kufanya Maboresho ya Sheria ya Mapato ya baadhi ya Mifuko kilichofanyika kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2026. Baadhi ya viongozi walioshiriki katika Kikao hicho ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,…

Read More

Bonasi yaibua ushindani BDL | Mwanaspoti

NAHODHA wa Stein Warriors, Mwalimu Herry amekiri kuna mabadiliko makubwa katika mchezo huo, yakichangiwa na udhamini pamoja na bonasi zinazotolewa kwa wachezaji. Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imekuwa ikipiga hatua kila msimu kutokana na kuwepo kwa wadhamini tofauti na miaka ya nyuma na hii imeongeza ushindani kwa wachezaji wakiwania pia kupata bonasi….

Read More

TOZO MPYA ZA BANDARI ZIFUTWE KABISA-TACAS

……… Wafanyabiashara na wadau wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam wameiomba Serikali kuondoa kabisa tozo mpya za maboresho ya miundombinu ya bandari zilizotangazwa hivi , wakidai kuwa zinaweza kuongeza gharama za biashara na hatimaye kuumiza walaji wa mwisho. Wadau hao wameeleza kuwa licha ya uamuzi wa mamlaka ya Bandari kusitisha kwa muda tozo hizo hadi…

Read More