Nsajigwa akiri ana kibarua kizito
SAA chache tangu awaage wachezaji aliofanya nao kazi Transit Camp, Kocha Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amekiri ana kazi kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha timu anayokabidhiwa inarudi kwenye ushindani. Nsajigwa, amekabidhiwa kuinoa Tanzania Prisons akichukua mikoba ya Zedekiah Otieno ambaye tayari wamefikia makubalianao ya pande mbili kusitisha mkataba wake akiwa ameiongoza timu hiyo kwenye mechi 14. Akizungumza…