Dosari za kisheria zamnusuru kunyongwa hadi kufa

Arusha. Mahakama ya Rufani imemwachilia huru James Kaliwa aliyehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la mauaji, baada ya kubaini kuwa upande wa mashtaka haukuthibitisha kesi yake bila shaka yoyote. Uamuzi huo uliobatilisha adhabu hiyo umetolewa Machi 9,2026 na  jopo la majaji watatu ambao ni Ferdinand Wambali,Omar Othuman Makungu na Agnes Mgeyekwa. Mahakama hiyo  ilibaini kuwa…

Read More

Cheza Leo, Pata Zawadi Kesho Na Win&Go Lucky Loser

MARA nyingi wabashiri wa michezo ya kasino hukutana na changamoto ya kupoteza licha ya kuchagua mchezo kwa umakini mkubwa. Lakini kupitia ubunifu wa Win&Go Lucky Loser, Meridianbet inaleta matumaini mapya kwa soko la wachezaji kwa kugeuza hasara ya leo kuwa ushindi wa kesho. Huu ni mfumo maalum unaobadilisha tiketi zisizofanikiwa kuwa fursa ya kujishindia hadi…

Read More

Marekani na mtindo mpya kung’oa, kuweka watawala

Marekani mbabe wa dunia, mwamuzi wa mustakabali wa taifa lolote. Hivyo ndivyo unaweza kulielezea taifa hilo lenye nguvu kubwa ya kijeshi, kiuchumi na hata kiteknolojia, mambo yanayoifanya kuwa juu zaidi ya nyingine. Kwa miongo mingi tangu vita ya pili ya dunia, Marekani ilipata nguvu kubwa zilizoiwezesha kufanya uamuzi kwa niaba ya Mataifa mengine, jambo ambalo…

Read More