Mtanzania ateuliwa katibu mkuu mpya wa EAC

Arusha. Mtanzania Balozi Stephen Mbundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akichukua Katibu Mkuu wa EAC, Veronica Nduva. Balozi Mbundi ametangazwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi za EAC unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Aidha, Rais wa…

Read More

Wawekezaji wanawake soko la hisa bado kiduchu

Dar es Salaam. Wakati zaidi ya Watanzania 800,000 wakiwa wamewekeza katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imeelezwa kuwa wanawake ni asilimia 35 ya wawekezaji katika soko hilo mpaka sasa. Hayo yameelezwa leo, Ijumaa Machi 6, 2026 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Peter Nalitolela, wakati wa hafla ya upigaji kengele maalumu inayolenga…

Read More

Vifaa vya Sh10 milioni kuwainua wakulima wanawake Tabora

Tabora. Wanawake wanaojishughulisha na kilimo mkoani Tabora wamepewa zana za kilimo na pembejeo, pamoja na ufuatiliaji wa kilimo chenye tija, kwa lengo la kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Zana vilivyotolewa ni pamoja na pampu za unyunyiziaji wa dawa, mabomba na pampu za maji kwa ajili ya umwagiliaji pale panapokua changamoto ya upatikanaji wa maji, pamoja na buti…

Read More

Samia Aongoza Kikao Kizito cha Kamati Kuu CCM Dodoma

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri…

Read More

Tanzania inavyoweza kukabili ongezeko bei ya mafuta duniani

Februari 28, 2026, Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi yao kwa Iran, yaliyosababisha vifo vya kiongozi mkuu wa taifa hilo, Ayatollah Ali Khamenei, pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Iran. Baada ya mashambulizi hayo Iran ilianza kujibu ikilenga kambi za kijeshi za Marekani na Israel lakini pia maeneo ambayo mataifa hayo ya maslahi, Hivi sasa vita…

Read More

DARAJA LA MKUYUNI LIMEANZA ‘KULIPA’

******* Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza tayari kumeanza kuonyesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi mara baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Machi 16, 2026, Ulega alisema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo hasa kufuatia matukio ya karibuni ya…

Read More