Mushi anavyoamini Kiswahili ni pesa, fursa kwa wanawake
Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho lugha ya Kiswahili inaendelea kupanua mipaka yake kimataifa, jina la Consolata Mushi limeendelea kujitokeza kama nguzo muhimu katika safari hiyo. Akiwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita), Mushi ni miongoni mwa viongozi wanaoamini kwa dhati kuwa Kiswahili si tu chombo cha mawasiliano, bali ni rasilimali na…