Simba yafika uwanjani, yatumia mlango usio rasmi

Kikosi cha Simba kimewasili Uwanja wa New Amaan Complex saa 12:37 jioni tayari kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa kuanzia saa 2:15 Usiku. Katika hali ya kushangaza, kikosi hicho kimetumia mlango usio rasmi kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kikitumia mlango wa VIP ambapo ni kinyume na utaratibu. Bodi ya Ligi wakati inafanya…

Read More

Vyakula Vya Kula Kwa Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

LEO tutaangazia vyakula vya kuepukwa na wagonjwa wa vidonda vya tumbo lakini pia tutaeleza vyakula vinavyofaa kuliwa na hao wenye matatizo hayo. Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa huo wa vidonda vya tumbo (ulcers), unapaswa kujiepusha kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. VYAKULA VYA KUEPUKWA Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo…

Read More

EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  MWEYEKITI   wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Tanzania (TUGHE) Tawi la EWURA, Herieth Kasilima, akiwaongoza baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa EWURA  waliojitokeza katika maadhimisho ya  kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika   ngazi ya Mkoa wilayani Kongwa ,mkoani Dodoma leo Machi 8,2026 wakipita mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho…

Read More

Tanzania yateuliwa mwenyeji ununuzi wa pamoja wa dawa SADC

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mpango wa Ununuzi wa Pamoja wa Dawa na vifaatiba kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), maarufu SPPS, hatua inayotarajiwa kupunguza gharama za dawa na kuimarisha upatikanaji wake katika ukanda huo. Licha ya kwamba Tanzania imewahi kuteuliwa awali, uteuzi wa sasa unaonekana…

Read More

WATALAAM WA FEDHA SADC WAJADILI VYANZO VYA KUONGEZA BAJETI

::::::::: Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09,  2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika.  Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania, wakiongozwa na Kamishna wa Fedha za Nje  katoka Wizara…

Read More