Israel Yaapa Kuendeleza Mashambulizi Hadi Malengo Dhidi ya Iran Yatimizwe
Global Publishers March 12, 2026 0 Comments Israel Defense Forces imesema iko tayari kuendelea na vita dhidi ya Iran kwa muda mrefu kadri itakavyohitajika hadi malengo ya kijeshi yatakapofikiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na Reuters, msemaji wa jeshi la Israel Avichay Adraee alisema kuwa Israel itaendelea kujibu mashambulizi baada ya kundi la Hezbollah kuanzisha…