Wananchi walalamikia kero ya maji Barabara ya Dodoma–Iringa
Dodoma. Wananchi waishio pembezoni mwa barabara kuu ya Dodoma – Iringa katika kata za Manzase na Fufu wameiomba Serikali kuboresha ujenzi wa barabara hiyo ambayo imekuwa kero wakati wa mvua. Wananchi hao wamelalamikia athari za mvua zinazokwamisha mawasiliano, kusababisha maji kujaa kwenye makazi yao na kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Wakizungumza leo Jumatano Februari…