Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabia  nchi

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa lengo la kuwasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hali inayotajwa kuathiri uzalishaji wa mazao na kupunguza tija kwa wakulima wa eneo hilo. Mabadiliko ya tabianchi yameelezwa kuwa chanzo cha ardhi kupoteza rutuba, jambo linalowalazimu wakulima kutumia kiasi kikubwa…

Read More

Shule ya Tanzania Yazindua Klabu ya Nishati Kukuza Upikaji Safi – Masuala ya Ulimwenguni

Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, akipika wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia zaidi ya watu 100 zikiwemo shule 52 za ​​sekondari. Credit: Kizito Makoye/IPS by Kizito Makoye (dodoma, tanzania) Jumatano, Machi 11, 2026 Inter Press Service DODOMA, Tanzania, Machi 11 (IPS) – Wingu la mvuke linapanda…

Read More

SAMIA ARDHI KLINIKI KUONGEZA UMILIKI WA ARDHI KWA WANAWAKE

  Na.Mwandishi Wetu-Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha  kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi, ambapo kwa sasa ni asilimia 28 tu. Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha…

Read More

Mbinu mpya uingizaji wa mihadarati zinatia hofu

Biashara haramu ya dawa za kulevya inaendelea kubadilika kadiri mamlaka zinavyoimarisha udhibiti wake. Hivi sasa, wafanyabiashara wa dawa hizo wamebuni mbinu mpya ya kuziingiza Zanzibar, hali inayoongeza wasiwasi kuhusu usalama wa jamii, hususan watoto na vijana. Mbinu hii mpya imeibuka baada ya njia nyingi zilizokuwa zikitumiwa kwa muda mrefu, zikiwemo kuzimeza na kuzibeba tumboni, kugundulika…

Read More

Balozi Kanza aingia orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi Afrika

Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza, ametajwa miongoni mwa viongozi 100 wenye ushawishi barani Afrika, akiungana na majina makubwa kutoka kwenye siasa, biashara, michezo na taasisi za kimataifa. Kutajwa kwa Kanza kunaakisi kuongezeka kwa ushawishi wake katika diplomasia ya kimataifa, hususan jijini Washington ambako amekuwa sauti muhimu katika kuwasilisha…

Read More