Wizara ya Afya Yatoa Tahadhari Ongezeko la Influenza, UVIKO-19, Dengue na Kipindupindu – Video

WIZARA ya Afya imetoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa magonjwa ya mlipuko nchini, ikiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, Homa ya Dengue na Kipindupindu, huku ikitoa tahadhari na wito kwa wananchi kuendelea kuchukua hatua za kujikinga. Katika taarifa hiyo iliyotolewa jijini Dodoma, Wizara imeeleza kuwa katika kipindi cha karibuni kumekuwapo na ongezeko la wagonjwa…

Read More

Wateja Stanbic kufanya malipo kwa urahisi zaidi

Dar es Salaam. Benki ya Stanbic Tanzania imezindua huduma ya malipo kwa wateja wake, hatua inayolenga kurahisisha miamala ya kidijitali kwa kuruhusu malipo kufanyika moja kwa moja kupitia Stanbic App au kwa kutumia huduma ya USSD. Uzinduzi huo unakuja baada ya mfumo wa Lipa Simpo kuwapo kwa muda, ukitumika zaidi kuwawezesha wafanyabiashara na wajasiriamali kupokea…

Read More

Tengeneza Jamvi Lako la Ushindi Kupitia Meridianbet

JUMATANO ya ushindi na Meridianbet imefika, Timu zote zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya UEFA mkondo wa pili kuchezawa leo. Wewe unachotakiwa kufanya ni kubashiri na Meridianbet. Atalanta atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani ambapo mechi ya mkondo wa kwanza wlaipokutana, wenyeji walipoteza. Mechi hii ya leo ndio…

Read More