Wanasheria wajitosa kupambania haki za urithi kwa wanawake

Arusha. Umoja wa Wanasheria wa Pan-Africa (Palu) umeanza hatua za kutetea haki za urithi za wanawake wa Kiafrika wanaoishi katika ndoa zisizo rasmi, zinazojulikana kama “njoo tuishi,” pamoja na watoto wao ili kuhakikisha wanapata haki sawa za urithi. Hatua hiyo imeanza leo Machi 17, 2026 jijini Arusha baada ya Palu kuwasilisha hati ya kuomba mwongozo…

Read More

Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva daladala Himo

Moshi. Madereva daladala eneo la Njia Panda, Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, waligoma kwa zaidi ya saa tano wakidai madereva bajaji kuwanyang’anya abiria katika vituo vyao vya kupakia na kushusha abiria barabara ya Marangu–Mwika. Mgomo huo ulitokea Februari 25, 2026 na kusababisha usumbufu kwa wasafiri, huku daladala zikisitisha huduma zikishinikiza bajaji kuondoka katika eneo lao….

Read More

Prisons v Yanga kupigwa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons imehamishia mechi yake dhidi ya Yanga mkoani Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Sokoine umefungiwa jana Machi 8, 2026 ikiwa ni muda mfupi baada ya mechi…

Read More

Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons

KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani mkubwa uliopo msimu huu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Nsajigwa aliyeachana na Transit Camp inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu, alitambulishwa rasmi kukiongoza kikosi…

Read More

Fei Toto awaibua wakongwe Ligi Kuu Bara

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA),  Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara anayehusika kwenye mabao hadi sasa akikaribiwa na mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, huku wachezaji wa zamani wakimpa maua yake. Kwenye chati ya ufungaji Fabrice Ngoy wa Namungo ndiye anaongoza kwa kufunga mengi akiwa nayo nane mbele…

Read More

TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za Kitaifa za Olimpiki za Afrika (ANOCA), Bwa. Mustapha Berraf, tarehe 01 Machi, 2026, katika Ofisi za Michezo ya Vijana Afrika, jijini Algiers. Kupitia mazungumzo hayo, wawili hao walijadili kuhusu namna ya kuimarisha…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More