Josiah atambia rekodi mpya Dodoma

KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amesema suluhu (0-0), iliyoipata timu hiyo juzi dhidi ya Simba ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho cha ‘walima Zabibu’, kufuata vyema maelekezo yake ya kucheza kwa nidhamu kubwa na kwa heshima. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah, alisema haikuwa mechi rahisi kutokana na jinsi wapinzani wao walivyokuwa wanacheza, ingawa…

Read More

WAZIRI MKUU AKAGUA UKARABATI WA UWANJA WA NDEGE WA SUMBAWANGA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga uliopo mkoani Rukwa. Mradi huo ulianza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 kwa gharama ya shilingi bilioni 60.1 na hadi sasa umefikia asilimia 96 ya utekelezaji. Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amewapongeza…

Read More

Shughuli ya kuwatafuta watu watatu waliozama majini yaendelea

Tanga. Utafutaji wa watu watatu waliopotea kufuatia kuzama kwa jahazi katika Bahari ya Hindi, eneo la Nungwi kisiwani Unguja, bado unaendelea huku matumaini ya kuwapata yakiwa yameanza kupungua. Jahazi hilo lililosajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo, lilikuwa limebeba watu 12 kinyume na taratibu wakati lilipopata ajali Machi 14, 2026. Miili ya watu wawili ilipatikana jana,…

Read More

Ukimya wa Inter Milan Wazaa Matokeo Makubwa Serie A

Vinara wa SERIE A, Inter Milan wameendelea kuwa na wakati mzuri baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mashindano hasa ya ndani. Bashiri mechi zote za Inter na Meridianbet leo. Kulikuwa na kitu tofauti kidogo kuhusu Inter msimu huu. Si kelele nyingi, si presha za nje  bali ukimya wa timu inayojitafuta upya. Kuanzia raundi za mwanzo…

Read More

Mtanzania ateuliwa katibu mkuu mpya wa EAC

Arusha. Mtanzania Balozi Stephen Mbundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akichukua Katibu Mkuu wa EAC, Veronica Nduva. Balozi Mbundi ametangazwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi za EAC unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Aidha, Rais wa…

Read More