TIB, UNDP Waingia Ubia wa Kimkakati Kukuza Uchumi Jumuishi na Endelevu
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Maendeleo (TIB), Deogratius Kwiyukwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Shigeki Komatsubara wakisaini hati ya Makubaliano (MoU) itakayolenga kuendeleza mifumo bunifu ya ufadhili wa maendeleo, hatua inayotarajiwa kuchochea mageuzi ya kijamii na kiuchumi nchini. Mikataba huo umesainiwa leo Machi 17, 2026 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi…