MYLEGACY Yaimarisha Uelewa wa Tabianchi na Usawa wa Kijinsia Kupitia Mradi wa “Kesho Njema”
Shirika la MyLEGACY limekutana na waandishi wa habari na wadau wa vyombo vya habari katika kikao cha ushirikishwaji chenye lengo la kuimarisha uelewa wa umma kuhusu mabadiliko ya tabianchi na kuiweka sekta ya habari kama jukwaa muhimu la utetezi wa masuala ya mazingira na usawa wa kijinsia. Kikao hicho ni sehemu ya utekelezaji wa mradi…