LORI LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO, MTU MMOJA ASADIKIKA KUFARIKI
Farida Mangube Morogoro Lori la mizigo lenye namba za usajili T729 BBT pamoja na tela namba T677 BTY limeteketea kwa moto katika eneo la Lugono, karibu na Nyama Choma Barabara Kuu ya Iringa–Morogoro. Tukio hilo la Lori kuwaka moto limetokea usiku wa kuamkia March 19 katika mazingira ambayo bado hayajafahamika wazi ambapo limeathiri vibaya sehemu…