Mwalimu, ofisa wa halmashauri wakabiliwa na kesi ya mauaji Serengeti
Musoma. Kesi ya mauaji inayowakabili washtakiwa watatu Mwita Maginga( 47) mkazi wa Tarime, Marco Maginga (45) ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi jijini Mbeya na Simon Ruhinda (55) ambaye ni muhudumu wa ofisi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeahirishwa kwa mara nyingine huku sababu ikielezwa kuwa ni…