Meridianbet Kuendeleza Biashara na Mshikamano wa Jamii Dar

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Meridianbet inathibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kwa hatua thabiti ya kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia zenye uhitaji wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mpango huu ni sehemu ya mkakati mpana wa kampuni kuhakikisha maendeleo ya biashara yanashirikiana kwa karibu na ustawi wa wananchi….

Read More

MADIWANI BIHARAMULO WAPITISHA BAJETI YA BILIONI 54.9

…….. BIHARAMULO  BARAZA la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera limepitisha mapendekezo ya mpango na bajeti ya mwaka 2026/27 kiasi cha shilingi 54,978,707,300 kwa lengo la kuchochea maendeleo na ustawi wa wananchi wake. Akiwasilisha bajeti hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Innocent Mkandara, Mweka hazina wa halmashauri ya Biharamulo,…

Read More

Bandari mpya Kisiwa Mgao itakavyoinua uchumi Kusini

Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa kubadilika kadri ujenzi wa bandari mpya maalumu ya mizigo mikubwa katika Kisiwa cha Mgao unavyoendelea kushika kasi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya…

Read More

Usiposafisha kinywa asubuhi, usiku haya yatakupata

Dar es Salaam. Wakati kesho Ijumaa, Machi 20, 2026 dunia ikiungana kuadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa, imeelezwa kuwa,  baadhi ya watu bado hawalichukulii kwa uzito unaostahili suala la kutunza meno, fizi na ulimi. Siku hii ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa na malengo mbalimbali ikiwamo kuongeza uelewa, kuwa watu wengi duniani walikuwa hawatilii mkazo afya ya…

Read More

Mfuko wa jimbo usiwatoe ngeu, sheria ipo wazi

Kuna misuguano ya chini kwa chini inayoendelea Tanzania Bara, kuhusu nani hasa anapaswa kuteua wajumbe wa kamati ya Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo huku baadhi ya wabunge wakiendesha mfuko huo kama mali yao binafsi. Lakini ukisoma kifungu cha 10 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2020 na kuchapwa katika Gazeti…

Read More