MERIDIAN HOLDINGS INC. KUWA SURA MPYA BADALA YA GOLDEN MATRIX GROUP
KATIKA hatua ya kimkakati ya kuimarisha utambulisho wake wa kimataifa, kampuni iliyokuwa ikijulikana kama Golden Matrix Group sasa imebadilisha rasmi jina na kuwa Meridian Holdings Inc. Kuanzia sasa, kampuni hiyo itafanya biashara katika soko la Nasdaq Capital Market chini ya alama mpya ya hisa MRDN. Mabadiliko haya yanaashiria hatua ya mageuzi inayolenga kuimarisha taswira na…