Skimu ya umwagiliaji kunufaisha wakulima 24,500 Mwanga

Mwanga. Wananchi wa Kata ya Kigonigoni, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuharakisha utekelezaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji unaoendelea katika eneo hilo, wakisema kukamilika kwake kutawasaidia kujikwamua kiuchumi na kupunguza umaskini. Mradi huo unatarajiwa kugharimu zaidi ya Sh16 bilioni na utanufaisha wakulima zaidi ya 24,500 katika kata hiyo, kwa kuongeza tija katika…

Read More

SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH – MISANGA

Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa pamoja katika kuwasaidia watu wenye uhitaji katika jamii. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Ramadhan Charity Programme 2026, Ahmed Misanga, wakati akikabidhi sadaka ya iftar katika kituo cha Jaamiul-Furouq, kilichopo wilayani Manyoni mkoani Singida. Misanga amesema…

Read More

Straika JKU akoleza ZPL moto mbio za ubingwa

SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Hilali Nassor amesema JKU ipo Ligi Kuu Zanzibar kwa ajili ya kupambania ubingwa na sio kushiriki. Alisema ndio maana kila mchezaji wa timu hiyo kipaumbele chake…

Read More

Kizimbani kwa kujifnya mtumishi wa HESLB

Kigoma. Mkazi wa jijini Mbeya Nickolaus Komba (30), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, akikabiliwa na makosa manne, likiwamo la kujifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na kuwatapeli watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Mtuhumiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Machi 6, 2026 mbele ya…

Read More

Mahakama Kuu Yafungua Kikao cha Mwaka, Jaji Kiongozi Asisitiza Uwajibikaji

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani, amewasisitiza Majaji, Mahakimu na Wakurugenzi wa Mahakama ya Tanzania kuhakikisha wanatekeleza mikakati inayowekwa na vikao mbalimbali pamoja na kuwasilisha utekelezaji wake kwa wakati. Dkt. Siyani ametoa rai hiyo leo tarehe 25 Februari, 2026…

Read More