Takukuru yakabidhi mashine za Sh18 milioni kuokoa vichanga

Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi mashine mbili za matibabu, zenye thamani ya Sh18 milioni, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure, kwa ajili ya kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wale wanaopata ugonjwa wa manjano. Mashine hizo ni Radiant warmer, inayotumika kuwahudumia watoto wanaozaliwa…

Read More

WAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUREJESHA BIASHARA

-Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi -Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa wafanyabiashara halisi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza hatua za haraka kurejesha shughuli za biashara kufuatia ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipofika…

Read More

Mwalimu wa Kiingereza wa Diamond na Harmonize, Allen Ngonyani Afariki

Global Publishers March 15, 2026 0 Comments Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen Ngonyani, amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Geza, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu. Akizungumza na Global TV Online, mmoja kati ya ndugu…

Read More

Waziri Mkuu wadogo zako wakuige – Sumaye

Hanang‘. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amewasihi wasaidizi wa Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuiga namna anavyotatua  changamoto na kero za wananchi kwa kusikiliza na kuzitatua. Sumaye ameyasema hayo leo Jumapili Machi Mosi, 2026, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang’ mkoani Manyara. Amesema anavutiwa na namna Waziri Mkuu Mwigulu…

Read More

UCHAMBUZI WA MJEMA: Balozi Nchimbi alivyoanzisha safari ya maridhiano kiana

Ukimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi alipokuwa akizungumza katika Misa Takatifu ya mazishi ya Mwadhama Polucarp Kardinali Pengo, unaweza kudhani ni maneno ya kisiasa, lakini ukweli ameanzisha safari ya maridhiano. Alichokisema Balozi Nchimbi ni nadra sana kusikia kutoka kwa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao ni wahafidhina (conservatives) ambao hawataki mabadiliko na wanachukulia…

Read More