Mahakama Kuu Yafungua Kikao cha Mwaka, Jaji Kiongozi Asisitiza Uwajibikaji

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani, amewasisitiza Majaji, Mahakimu na Wakurugenzi wa Mahakama ya Tanzania kuhakikisha wanatekeleza mikakati inayowekwa na vikao mbalimbali pamoja na kuwasilisha utekelezaji wake kwa wakati. Dkt. Siyani ametoa rai hiyo leo tarehe 25 Februari, 2026…

Read More

Geay, Dinday warejea kutoka Daegu Marathon

WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari 22,2026 na kubeba heshima ya taifa. Nyota hao wote wanatokea timu ya riadha ya Gabriel Geay inayofanya mazoezi katika kambi ya Madunga iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara. Geay ameendelea kuthibitisha ubora…

Read More

Nashon aichomoa Simba mkwanja wa maana

KIKOSI cha Simba jana kilikuwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni, jijini, Dar es Salaam, kucheza dhidi ya TRA United, huku kiungo mpya wa timu hiyo, Kelvin Nashon, akiingiza zaidi ya Sh230 milioni, ili kukamilisha dili hilo. Mechi hiyo ya Ligi Kuu, ni ya raundi ya pili, baada ya ile ya kwanza iliyopangwa kufanyika…

Read More

Diaspora kuvutwa uwekezaji kwenye hisa Tanzania

Dar es Salaam. Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeshauriwa kuongeza nguvu ili kuwavuta Watanzania wanaoishi nje ya nchi kuwekeza katika soko la mitaji na dhamana. Kuwekeza kwao kutafanya Tanzania kupata fedha za kutosha kuendesha baadhi ya miradi na kuchochea uchumi wa nchi. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Machi 3, 2026 katika jukwaa la…

Read More

TANESCO KUFANYA MABORESHO YA MFUMO WA LUKU

 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa manunuzi ya umeme (LUKU) yatakayofanyika kesho Jumatano usiku kuamkia Alhamisi kuanzia saa 6:00 usiku hadi saa 8:00 usiku (masaa mawili). Kutokana na maboresho hayo, huduma ya kununua umeme kupitia mfumo wa LUKU haitapatikana kwa muda huo. Hivyo, TANESCO inawashauri wateja…

Read More

Rais Samia atoa ujumbe wa siku ya wanawake duniani

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuendeleza juhudi za kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata haki na usawa ili kuchochea maendeleo jumuishi ya Taifa. Rais Samia ametoa wito huo leo Machi 8, 2026 katika ujumbe wake kwa Taifa wa  maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, akieleza  siku hii ni muhimu kwa kutambua mchango mkubwa…

Read More

Serikali yaridhishwa bei ya bidhaa mwezi wa Ramadhani

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na mwenendo wa wafanyabiashara kuuza bidhaa kwa kuzingatia bei elekezi zilizowekwa na Serikali katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Februari 25, 2026 na Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Shariff Ali Shariff, alipofanya ziara ya kukagua…

Read More