Nafasi Mpya za Ajira The Amazon College – Omba Sasa!
Global Publishers March 23, 2026 0 Comments Chuo cha The Amazon College – Dar es Salaam kinatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye sifa na ari ya kufanya kazi katika vituo vyetu vya Kibaha na Dar es Salaam. KITUO CHA KAZI – KIBAHA Katibu Muhutasi (Office Secretary)Awe na angalau astashahada au stashahada. Msimamizi wa Kituo…