RC CHALAMILA AANDAA IFTAR MAALUM

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 27,2026 ameandaa Iftar maalum kwa wakazi wa Mkoa huo hafla ambayo imefanyika katika ukimbi wa Diamond Jubilee. Katika hafla hiyo viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali pamoja na wananchi kutoka maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam wamehudhuria. Mgeni rasmi katika tukio…

Read More

Rais Trump Ahudhuria Kuagwa kwa Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Global Publishers March 8, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria hafla maalum ya kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika kambi ya kijeshi nchini Kuwait. Hafla hiyo iliwakutanisha viongozi wa juu wa kijeshi, familia za wanajeshi waliouawa pamoja na maafisa wa serikali ya Marekani, ambapo…

Read More

Wawili wakamatwa, 87 waokolewa kwenye mtego wa utajiri Tanga

Tanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa utapeli wa mtandaoni uliowalaghai vijana 87 kwa ahadi za kupata utajiri wa haraka kupitia kampuni isiyo halali. Taarifa hiyo imetolewa jana Aprili 5,2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ambapo amewataja waliokamatwa ni Mohammed Idrisa (24), mkazi…

Read More

Maboresho mfumo kodi na maendeleo tuyatakayo

………… Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga  Juhudi za kujiletea maendeleo zinategemea sana ufanisi wa ukusanyaji kodi kutoka kwa wananchi. Wizara, taasisi na vitengo mbalimbali wanaweza wakakaa chini kupanga, kujadili na kuja na mipango mingi mizuri ya maendeleo lakini itakapofika kipengele cha namna ya kutekeleza mipango hiyo, maeneo mengi yatahitaji fedha ili kufanikisha. Kimsingi, kodi ni…

Read More

LIVE: The Citizen Rising Woman 2026

Dar es Salaam. Wadau wakiwamo wanawake zaidi ya 400 kutoka sekta mbalimbali nchini, wakishiriki Jukwaa la Sita la The Citizen Rising Woman Initiative (RWI) linalofanyika muda huu katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. LIVE: The Citizen Rising Woman 2026 Jukwaa hili…

Read More

Sika Tanzania Yaadhimisha Miaka 10 kwa Kuzindua Mitambo ya Kisasa Dar es Salaam na Mwanza

Balozi wa Switzerland nchini Tanzania, Nicole Providoli akishirikiana na viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Sika Tanzania wakikata Utepe kuashiria usheherekeaji wa miaka 10 ya kampuni hiyo pamoja na uzinduzi wa mitambo mipya ya kisasa katika miji ya Dar es Salaam na Mwanza.  KAMPUNI ya kimataifa ya uzalishaji wa kemikali maalum za ujenzi, Sika Tanzania, imeadhimisha miaka…

Read More

Said anaandika rekodi zake Malaysia

MSHAMBULIAJI Said Hamis Said Jr anayekipiga Imigresen, anaendelea kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya Malaysia baada ya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoibeba timu hiyo. Said Jr amekuwa na msimu bora na tayari amecheza mechi 21 za ligi akifunga mabao 16 na kutoa asisti nne, takwimu zinazoonyesha mchango wake mkubwa katika kikosi hicho. Mabao hayo…

Read More