Sh14.9 bilioni kujenge madaraja mawili Ileje
Ileje. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya Jasco anayejenga daraja la Kabalisi na mkandarasi kutoka kampuni ya Gemen anayejenga daraja la Sange kukamilisha miradi hiyo kufikia Machi 30, 2026. Ujenzi wa madaraja hayo yanatarajia kugharimu jumla ya Sh14.9 bilioni ambapo inadaiwa pindi yakikamilika yataondoa adha kwa wananchi ya kuvuka kwenda…