TUMEONDOA VAT KATIKA UAGIZAJI WA MITUNGI YA GESI ILI KURAHISISHA UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANANCHI- NDEJEMBI

******** Waziri wa Nishati,  Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imeondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa mitungi ya gesi (LPG), mitungi mikubwa ya gesi (LPG bulk facility) pamoja na carbonizers za kutengeneza mkaa mbadala ikiwa ni sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali kupunguza bei na kurahisisha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia…

Read More

Wakulima kurahisishiwa upatikanaji wa mbegu bora

Dar es Salaam. Tanzania imelenga kuongeza tija ya uzalishaji wa kilimo katika mazao 13 ya kimkakati baada ya kusainiwa kwa makubaliano yanayolenga kuhakikisha wakulima wote walio katika vyama vya ushirika wanapatiwa mbegu bora na zenye tija kwa wakati. Mkataba huo wa makubaliano wa miaka mitano uliosainiwa kati ya Shirikisho la Vyama Vya Ushirika Tanzania (TFC)…

Read More