Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na kufanya maamuzi sahihi. Hisia kali za mapenzi zinampeleka ndivyo sivyo yeye anaamini yupo sahihi. Mtu wa namna hii, mara…