UN yaomboleza mwanadiplomasia wa katiba aliyegeuka kuwa mwanadiplomasia mkuu wa mgogoro, Nicholas Haysom – Masuala ya Ulimwenguni

Mwanasheria huyo mashuhuri na mwanadiplomasia kutoka Afrika Kusini aliteuliwa Januari 2021 na alikuwa na taaluma ya kimataifa kwa muda mrefu akizingatia utawala wa kidemokrasia, mageuzi ya kikatiba na uchaguzi, upatanisho na kusaidia michakato ya amani. Pia alikuwa Mshauri Mkuu wa Kisheria katika kipindi chote cha urais wa Nelson Mandela hadi 1999. Hapo awali Bw. Haysom…

Read More

Farao Wa Ushindi Ametia Timu Meridianbet Kukupa Utajiri Wako

MERIDIANBET wamekuletea Books of Egypt kutoka Expanse Studios inayokurudisha moja kwa moja enzi za Misri ya kale, ambapo nguvu ilikuwa ndiyo maisha kama ambavyo ushindi wa mchezo unakuja kwa wenye imani ya kujaribu. Kwenye mchezo huu kinachohitajika ni uthubutu, akili, na kukaa mchezoni. Ndani yake sasa, alama ya kitabu sio ya kawaida, hii ndio silaha…

Read More

Yanga yakwama tena kwa Mtibwa, kicheko kwa Simba

Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Huo umekuwa ni mchezo wa tatu mfululizo kwa Yanga kupata matokeo ya sare tasa katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Azam FC na TRA Unted. Sare hiyo inaonekana kuwa na faida kwa Simba…

Read More

Tausi FC wala haiwazi ubingwa, mipango ni hii

TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin. Kilasi ambaye ana uzoefu mkubwa katika ukocha amewahi kuwa kocha msaidizi wa Simba SC U20, Tazara FC ya Zambia na Young Boys FC inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Akizungumza na…

Read More

‘Bundi’ alivyotua CCM Moshi, tafrani zaibuka kikaoni

Moshi. Hali si shwari, ndivyo unaweza kuelezea misuguano iliyopo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Manispaa ya Moshi huku baadhi ya viongozi na wanachama wakigawanyika katika makundi mawili yanayosigana. Ni kutokana na msuguano huo, kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho ambacho kiliketi jana Jumamosi Machi 7, 2026 katika ukumbi wa CCM mkoa almanusura kisifanyike, kama…

Read More