Kliniki ya ardhi kutatua changamoto za ardhi kwa wanawake

Dodoma. Serikali imeanzisha kliniki maalumu ya ardhi kwa lengo la kuwasaidia wanawake kutatua changamoto za umiliki wa ardhi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 mwaka huu. Akizungumza leo Jumatatu Machi 2, 2026 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nyumba, Ardhi na Maendeleo…

Read More

Kocha Yanga aibuka na matatu hesabu za ubingwa Bara

YANGA ina hesabu zake za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tano mfululizo, lakini katika hilo, inakumbana na vikwazo mbalimbali ikiwemo majeraha ya nyota wake wa kikosi cha kwanza na baadhi wameanza kurudi akiwemo Ibrahim Bacca, lakini itaendelea kuwakosa Clement Mzize na Dickson Job hadi mwisho wa msimu. Kabla ya mambo hayajaharibika…

Read More

Gates of Halloween Na Safari ya Ushindi Inayoendelea Meridianbet

Meridianbet imezidi kuonesha ubunifu wake kupitia mchezo wa kasino unaovutia, Gates of Halloween. Mchezo huu umeleta mandhari ya Halloween, ukichanganya ubunifu wa picha, mwendo wa kasi na hali ya kusisimua inayomweka mchezaji katikati ya tukio la kipekee. Kila mzunguko huibua matarajio mapya, ukiwapa wapenzi wa kasino sababu ya kuendelea kubofya na kufurahia safari yao. Ubunifu…

Read More

Aliyekataa bao, aliyefunga wafungiwa | Mwanaspoti

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetoa adhabu kwa klabu, wachezaji na waamuzi kufuatia matukio yaliyojitokeza katika michezo mbalimbali  ikiwemo Dabi ya Kariakoo iliyopigwa wikiendi iliyopita, Zanzibar. Katika uamuzi huo uliotangazwa Machi 6, 2026, Simba imeadhibiwa kwa makosa yaliyotokea katika michezo tofauti ya Ligi Kuu Bara. Katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Simba imetozwa faini…

Read More