Ford Yampa Papa Leo XIV Zawadi ya Gari Maalum la 2026 Ford Explorer
Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Mkurugenzi Mkuu wa Ford Motor Company, Jim Farley, amemzawadia Papa Leo XIV gari la kipekee aina ya Ford Explorer Platinum Hybrid 2026 lililotengenezwa maalum katika kiwanda cha Chicago nchini Marekani. Zawadi hiyo maalum ilitolewa kama ishara ya heshima kwa Papa huyo ambaye ni wa kwanza kuzaliwa nchini Marekani…