Okello amuibua Pedro Yanga | Mwanaspoti

DAKIKA 626 alizocheza kiungo wa Yanga, Allan Okello katika Ligi Kuu Bara akihusika na mabao matatu kufuatia kufunga mawili na asisti moja, imemfanya kocha wa timu hiyo, Pedro Goncalves kusema kijana huyo kutoka Uganda anapambana kufanya kazi nzuri. Pedro alibainisha kwamba, kiungo mshambuliaji huyo anayetumia zaidi mguu wa kushoto, namba zake zimeendelea kuwapunguzia presha Pacome…

Read More

Mary Chatanda kuongoza kongamano la CCM China kwa njia mtandao

Na: Mwandishi Wetu Wanachama wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), tawi la China (Diaspora), limeandaa Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 kwa njia ya mtandao (Google Meeting) ili kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo yamuhusuyo mwanamke. Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Machi 15, 2026, majira ya saa tisa kamili alasiri hadi saa kumi na mbili…

Read More

Kilichomshinda Shingo si Kiingereza | Mwananchi

Dar es Salaam. Baada ya kupata kigugumizi wakati wa kujinadi kwa lugha ya Kiingereza, mbunge wa Ukonga (ACT Wazalendo), Bakari Shingo, amesema si lugha hiyo iliyomkwamisha kujieleza, bali kuna mengine yaliyosababisha kile kilichoshuhudiwa. Shingo alipata kigugumizi hicho Februari 5, 2026, alipokuwa akijinadi bungeni jijini Dodoma kuomba nafasi ya Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge…

Read More

Kocha Pamba afungua ‘code’ ya Simba

WAKATI Pamba Jiji ikijipanga kuipokea Simba SC, kocha wa kikosi hicho, Francis Baraza amesema kazi kubwa waliyonayo ni kuwashika wekundu hao pabaya. Mechi hiyo itakayochezwa Machi 19, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Baraza alisema eneo lenye nguvu zaidi kwa Simba ni kiungo, hivyo watadili nalo kuhakikisha wanapata ushindi kirahisi wakiwa nyumbani….

Read More

Kili Marathon Yatangaza barabara zitakazofungwa siku ya mbio

  Wiki moja tu kabla ya kuanza kwa Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, waandaaji wa mbio hizi zenye hadhi ya kimataifa wametoa mwongozo wa kina kwa wananchi na washiriki, ikiwemo taarifa za kufungwa kwa barabara, maegesho, na masuala mengine ya kiitifaki. Tukio hili linalosubiriwa kwa hamu kubwa litafanyika Jumapili, Machi 22, 2026, katika Chuo Kikuu…

Read More

Majanga ya kuishi na mwenza haambiliki

Kuishi na mwenza asiyeambilika ni changamoto kubwa, inayoweza kuleta mgogoro na usumbufu katika ndoa au uhusiano. Katika maisha ya ndoa, wanandoa wanategemea na kutegemeana kwa kiasi kikubwa, lakini wakati mwingine mmoja au wote wawili wanakutana na hali ambazo hazitarajiwi.  Mmoja anaweza kuwa na tabia au mienendo ambayo inakuwa vigumu kubadilika au kukubaliana nayo, na hii…

Read More

Diwani Ndule Ashukuru Global TV Kusaidia Kurejesha Mwili wa Veronika Nyamwendo – Video

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Diwani wa Kata ya Vighawe, Mpwapwa mkoani Dodoma, Emmanuel Ndule ameishukuru Global TV kwa jinsi ilivyosimamia suala la mwili wa Mtanzania Veronika Nyamwendo aliyefariki dunia akiwa Oman, unarudishwa nchini na kwenda kuzikwa kijijini kwao. Amesema Global TV inasaidia wanyonge na kuiomba serikali iangalie namna ya kuishika mkono. Pia…

Read More