SHEIKH MKUU WA TANZANIA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI BAADA YA KUPATA HATI SAMIA ARDHI KLINIKI

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kutumia fursa ya huduma za ardhi zinazotolewa kupitia Samia Ardhi Kliniki, akisisitiza umuhimu wa wanawake kumiliki ardhi kama njia ya kujikomboa kiuchumi. Mufti Zubeir alitoa kauli hiyo baada ya kufika katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Ofisi za Ardhi za…

Read More

Jafary Maneno wa JKT humwambii kitu kwa Pacome, Chama

KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Jafary Maneno, amewataja baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara anaowakubali na kwamba anajifunza mengi kutoka kwao. Maneno alisema wachezaji hao ni Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli wanaocheza Yanga, pia Elie Mpanzu, Libasse Gueye na Clatous Chama wanaokipiga Simba, huku akibainisha wanachokifanya uwanjani vinamvutia na kujifunza vingi. “Wapo wengi…

Read More

Nchimbi: Magufuli ameacha darasa la uongozi

Dar es Salaam/Chato. Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema maisha na uongozi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli yalikuwa darasa muhimu kwa viongozi na Watanzania kwa ujumla, akisisitiza kuwa namna bora ya kumuenzi ni kuishi na kutenda yale aliyoyaamini. Nchimbi ameyasema hayo leo Machi 17, 2026 alipozungumza baada ya misa takatifu…

Read More

Laizer afichua faili la Mnigeria, Obasi

LICHA ya kiwango bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji nyota wa Fountain Gate, Mnigeria Chukwunonye Obasi, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kutomchezesha dakika nyingi ni kutokana na sababu mbalimbali za kimsingi. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema kutokana na ufinyu wa wachezaji wengi kikosini humo baada ya kufungiwa timu hiyo kutosajili, inamlazimu kuweka…

Read More

Dube aanika ukweli wa mabao yake

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube amesema hashindani na mtu bali anashindana na rekodi zake mwenyewe ndani ya ligi sambamba na kufikia mafanikio ya mataji akiwa ndani ya timu hiyo. Dube amefunguka hayo baada ya kupachika bao lake la tano msimu huu likiwa ni la 18 kwake kwenye mechi 25 za ligi alizocheza tangu amejiunga na…

Read More