Bandari mpya Kisiwa Mgao itakavyoinua uchumi Kusini

Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa kubadilika kadri ujenzi wa bandari mpya maalumu ya mizigo mikubwa katika Kisiwa cha Mgao unavyoendelea kushika kasi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya…

Read More

Daraja linalounganisha Bamba na Dege Kigamboni lakatika

Dar es Salaam. Wananchi wa Kigamboni wameeleza adha wanayopitia kutokana na kukatika kwa daraja linalounganisha eneo la Bamba na Dege, Kigamboni jijini Dar es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Leo Jumapili, Machi 22, 2026, Mwananchi imefika eneo hilo na kushuhudia utepe wa njano ukiwa umezungushwa kuanzia mita kama 50 kutoka daraja lililokatika, ili kuzuia…

Read More

TANZANIA KUENDESHA MAFUNZO, KONGAMANO LA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE KWENYE USULUHISHI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA

Tanzania yafanya maandalizi ya kuendesha mafunzo na kongamano la ushirikishwaji wa wanawake kwenye usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala ili kuongeza idadi ya wanawake waliothibitishwa kwenye ngazi ya maamuzi na ushiriki kwenye utatuzi wa migogoro ndani na nje ya nchi. Hayo yameelezwa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi…

Read More

“Katika Mkutano wa Kwanza wa Bahari Yetu barani Afrika, Jaribio la Utashi wa Ulimwenguni juu ya Ulinzi wa Bahari Kuu na Uchimbaji wa Madini ya Bahari Kuu” – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na James Alix Michel (victoria, visiwa vya Shelisheli) Jumatatu, Machi 23, 2026 Inter Press Service VICTORIA, Shelisheli, Machi 23 (IPS) – Wakati Mkutano wa 11 wa Bahari Yetu utakapofunguliwa huko Mombasa na Kilifi, Kenya, kuanzia Juni 16-18, 2026, itakuwa ni mara ya kwanza kwa mkutano huu wenye ushawishi mkubwa kufanyika katika ardhi ya Afŕika….

Read More

WAZIRI CHONGOLO AWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA WA IDOFI, KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI EKARI 1,300

NIRC Makambako. Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo ametangaza neema kwa wakulima wa Idofi, Wilaya ya Makambako, ambapo Serikai inaenda kutekeleza mradi Mkubwa wa Umwagiliaji utakaonufaisha ekari zaidi ya 1.300. Amesema, hatua hiyo itainua uchumi hivyo ni muhimu kuunga mkono mpango wa Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wa kutekeleza mradi huo wa ujenzi…

Read More

Video: Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito

Bakari Mahundu February 28, 2026 0 Comments Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali uliokuwa ukiongezeka kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah. Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kuwa nchi hiyo ipo katika…

Read More