WAJA ATOA SADAKA KWA MISIKITI 65 GEITA MJINI

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura, ametoa tende kwa misikiti 65 iliyopo katika jimbo lake ikiwa ni sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza wakati wa zoezi la kugawa tende hizo, Mbunge Wambura amesema amefanya hivyo kama sehemu ya sadaka yake kwa waumini wa…

Read More

BASATA YATOA WITO WASANII KUJIRASIMISHA MTANDAONI, TAMASHA LA 17 LA MUZIKI WA CHIGOGO KUFANYIKA JULAI CHAMWINO

….. Na Carlos Claudio, Chamwino Dodoma. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii wote nchini kujirasimisha rasmi ili waweze kutambulika kisheria na kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali, likisisitiza kuwa mfumo wa usajili unapatikana mtandaoni kupitia kiungo cha sanaa.go.tz. Wito huo umetolewa leo Februari 27, 2026 katika wilaya ya Chamwino, mkoani…

Read More

Minara mipya 600 ya simu kujengwa Tanzania

Dar es Salaam. Serikali inajiandaa kuanza ujenzi wa minara mipya 600 katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, huku Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikisisitiza usimamizi wa ubora wa miundombinu hiyo ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya wananchi. Agizo hili limetolewa kufuatia malalamiko ya minara isiyokuwa na ubora, ambayo husababisha kushindwa kutoa huduma bora, hasa katika maeneo…

Read More

Ilichokisema CCM mbele ya mwakilishi wa UN

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendeleza dhamira yake ya  muda mrefu wa kuheshimu utawala wa sheria, kidemokrasia na ushiriki wa kisiasa kwa njia za amani. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha-Rose Migiro wakati akikiwakilisha chama hicho katika mazungumzo na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja…

Read More

HAYATI MAALIM SEIF AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMA YA AFRIKA

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imekubali malalamiko ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Sharifu Hamad na wenzake katika kesi ya msingi waliyoifungua mahakamani hapo mara baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAIPIGIA SALUTI TEKNOLOJIA YA STAMICO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kikazi mkoani Geita kukagua miradi inayosimamiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), ambapo imemwagiwa sifa kwa mapinduzi ya teknolojia kwa wachimbaji wadogo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo katika eneo la Katente, Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, ameeleza kuwa serikali kupitia…

Read More