Wanasheria wajitosa kupambania haki za urithi kwa wanawake

Arusha. Umoja wa Wanasheria wa Pan-Africa (Palu) umeanza hatua za kutetea haki za urithi za wanawake wa Kiafrika wanaoishi katika ndoa zisizo rasmi, zinazojulikana kama “njoo tuishi,” pamoja na watoto wao ili kuhakikisha wanapata haki sawa za urithi. Hatua hiyo imeanza leo Machi 17, 2026 jijini Arusha baada ya Palu kuwasilisha hati ya kuomba mwongozo…

Read More

Vikwazo kwa zao la tende vyawekwa hadharani, wanaume wakitajwa kuongeza thamani

Dodoma. Changamoto ya upatikanaji wa miche bora ya tende pamoja na masharti yanayowekwa na nchi zinazolima zao hilo zimetajwa kuwa miongoni mwa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa kilimo cha tende nchini. Kutokana na vikwazo hivyo, wakulima wengi wameendelea kutumia mbegu za zamani, ambazo zinaelezwa kuwa hazina tija katika kipindi hiki. Hali hii inajitokeza wakati mahitaji ya…

Read More

Nsajigwa: Azam? Waje tumalizane | Mwanaspoti

BAADA ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Shedrack Nsajigwa amesema yuko tayari kuikabili Azam FC, akieleza jinsi alivyoibadili timu hiyo ndani ya uwanja kurejesha ushindi kikosini. Nsajigwa alitambulishwa kikosini humo akichukua mikoba ya Zedekiah Otieno raia wa Kenya aliyesitishiwa kibarua chake Februari 25, 2026 kutokana na matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi Kuu. Akizungumza leo…

Read More