SERIKALI YASISITIZA VIWANGO VYA UBORA WA KIMATAIFA KATIKA UVUVI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Uvuvi Prof. Mohammed Sheikh,akizungumza leo Aprili 8,2026 wakati akizindua mafunzo ya siku tano kwa maafisa wakaguzi wa mazao ya uvuvi 25 yaliyoandaliwa na Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula Duniani (FAO). ….. Naibu Katibu Mkuu…