Azam vs Yanga kupigwa Chamazi

MAJIBU ya maswali kuhusu wapi Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu itachezwa yamepatikana baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kupisha maboresho yanayolenga Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027. Dabi hiyo itakayochezwa Machi 15, 2026 imehamishiwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es…

Read More

Viongozi 70 CCM Moshi wasaini kumkataa kigogo mwenzao

Dar es Salaam. Msuguano ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro unaonekana kuingia katika hatua ngumu zaidi baada ya viongozi 70 kusaini barua ya kutokuwa na imani na kigogo wa chama hicho ngazi ya wilaya. Taarifa za uhakika zilizolifikia Mwananchi, zinaeleza miongoni mwa waliosaini barua hiyo iliyotumwa kwa Katibu wa…

Read More

MKUU WA MKOA KATAVI AAGIZA UTII WA SHERIA ZA TASAC

Na Mwandishi Wetu,Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ameagiza wadau wote wa usafiri majini na shughuli zinazohusiana na uendeshaji wa vyombo vya majini mkoani humo kuhakikisha wanatii kikamilifu sheria na taratibu zinazosimamiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Mrindoko ametoa maagizo hayo leo tarehe 27 Februari, 2026, alipokutana na watalaam wa…

Read More

Mahubiri: Simama katika zamu yako  

Tumsifu Yesu Kristo. Nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ni matumaini yangu kuwa, kwa neema ya Mungu, unaendelea vizuri. Ninamshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kusema na wewe siku ya leo, ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani. Maadhimisho ya mwaka jana, kupitia ukurasa huu, nilipata pia kibali cha kukukumbusha juu ya…

Read More

Mgombea urais ADC ajipanga upya kutimiza ndoto ya kuwa rais

Nafasi ya urais ni ya juu zaidi katika nchi; inaambatana na wajibu mkubwa wa kuusimamia ili kukidhi matarajio ya wananchi katika kuwaletea maendeleo na kujenga hatima yao njema, hasa kuwafanya wawe na furaha. Baadhi ya watu wamejitosa kuwania nafasi hiyo mara kadhaa licha ya kwamba ni wachache waliofanikiwa kushinda uchaguzi na kubeba jukumu hilo. Hata…

Read More