Amnyonyesha mtoto uume akiusaka utajiri, Polisi yasema…
Tabora. Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia msanii wa filamu mkoani humo, Ibrahim Kitundu (18) kwa tuhuma za kumnyonyesha uume wake mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita ili kukamilisha sharti la mganga la kupata mafanikio ya kazi zake za sanaa. Akizungumzia tukio hilo jana Jumapili, Machi 22, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, …