Vodacom Wakabidhi Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Mkata

Bakari Mahundu March 12, 2026 0 Comments Vodacom Tanzania Foundation, Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank Kwenye Picha ya Pamoja Wakizindua Matundu 10 ya Kisasa ya Vyoo Shule ya Msingi ya Mkata, Tanga. Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama pamoja na Stanbic Bank wamejenga matundu 10 ya kisasa ya vyoo katika Shule ya…

Read More

Tathmini yabaini udhaifu wa kuhesabu kwa wanafunzi wa awali

Dodoma. Tathmini iliyofanywa na Serikali kuhusu stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa wanafunzi wa darasa la awali hadi la tatu imebaini kuwa stadi ya kuhesabu iko chini ikilinganishwa na stadi za kusoma na kuandika. Kwa mujibu wa matokeo ya tathmini hiyo, wanafunzi wengi wanafanya vizuri zaidi katika kusoma, ikifuatiwa na kuandika, huku kuhesabu…

Read More

FCC Yaimarisha Ulinzi wa Mlaji Katika Soko la Vifaa vya Ujenzi

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na kuuza bidhaa zenye ubora unaolingana na thamani ya fedha anayolipa mnunuzi. FCC imeeleza kuwa ni muhimu kwa wazalishaji kuzingatia viwango vinavyotakiwa katika uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ili kuepusha uwepo…

Read More

Watanzania kunufaika mikopo ya nyumba bila dhamana

Dar es Salaam. Watanzania wenye kipato cha chini ambao awali walishindwa kupata mikopo ya nyumba kutokana na masharti magumu yaliyowekwa na taasisi za kifedha, sasa wanaweza kunufaika na suluhisho jipya la kifedha lililozinduliwa rasmi. Fursa hii imekuja kufuatia uzinduzi rasmi wa mpango wa Wholesale Housing Microfinance chini ya Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC)…

Read More