KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO
Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Marehemu alikuwa mchungaji mwaminifu na kiongozi mwenye hekima na busara, aliyeilitumikia Kanisa na Taifa kwa uaminifu mkubwa, akiacha alama isiyofutika katika mioyo ya wengi. Kwa niaba yangu binafsi na kwa…