Mtanzania ateuliwa katibu mkuu mpya wa EAC

Arusha. Mtanzania Balozi Stephen Mbundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akichukua Katibu Mkuu wa EAC, Veronica Nduva. Balozi Mbundi ametangazwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi za EAC unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Aidha, Rais wa…

Read More

RAIS SAMIA ATOA WITO WA MAPINDUZI YA KIDIJITALI,USHIRIKIANO WA SERIKALI NA WADAU WASISITIZWA KUJENGA UCHUMI JUMUISHI

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma  Katika hatua muhimu ya kuendeleza safari ya Tanzania kuelekea uchumi wa kidijitali, Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya mawasiliano ili kuharakisha maendeleo ya teknolojia na uchumi jumuishi nchini. Akizungumza Aprili 10, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete…

Read More

Serikali yafafanua meli iliyokamatwa na dawa za kulevya

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera ya Tanzania nchini El Salvador, iliyodaiwa kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya kokeini. Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kusambaa kwa taarifa za kukamatwa kwa meli hiyo Februari 17 mwaka huu, siku…

Read More

BAKWATA Yamtangaza Rais Samia Kuongoza Baraza la Eid Jijini Dar

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Waislamu nchini Tanzania kesho Machi 21, 2026  wanatarajiwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri kwa shangwe na ibada maalum, ikiwa ni hitimisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nchini Tanzania, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni…

Read More

SERIKALI YAENDELEA KUJIDHATITI UDHIBITI WA MAGONJWA ADIMU

Na Hassan Kimweri, WAF – Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya, inaendelea kujidhatiti kwa kuimarisha mifumo ya huduma za afya kupitia tafiti mbalimbali ili kuhakikisha wagonjwa wenye magonjwa adimu wanapata huduma stahiki kwa wakati. Hayo yamesemwa leo Machi 4, 2026 na Mganga Mkuu…

Read More

Madaktari wataja njia rahisi ya kulinda figo

Dar es Salaam. Wakati kesho Alhamisi, Machi 12, 2026 ikiwa ni siku ya figo duniani, wataalamu wa afya nchini wameonya mtindo wa maisha unaohusisha matumizi makubwa ya soda, vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) na vilevi, huku watu wakipunguza unywaji wa maji ya kutosha, unaongeza hatari ya kupata magonjwa ya figo. Kwa mujibu wa wataalamu,…

Read More