Teknolojia ya tiba mwanga inayopambana na magonjwa sugu

Dar es Salaam. Tiba mpya inayotumia mwanga maalumu inayojulikana kama phototherapy imeanza kuibua matumaini mapya kwa wagonjwa wa magonjwa sugu, ikiwamo kisukari, shinikizo la damu na matatizo ya figo. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, phototherapy ni aina ya matibabu yanayotumia mawimbi maalumu ya mwanga kuchochea mwili kuanza mchakato wa kujirekebisha na kupona. Teknolojia hii…

Read More

Wawili wakamatwa, 87 waokolewa kwenye mtego wa utajiri Tanga

Tanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa utapeli wa mtandaoni uliowalaghai vijana 87 kwa ahadi za kupata utajiri wa haraka kupitia kampuni isiyo halali. Taarifa hiyo imetolewa jana Aprili 5,2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ambapo amewataja waliokamatwa ni Mohammed Idrisa (24), mkazi…

Read More

Matumizi ya VAR Bongo tumekwama hapa

WAKATI wadau na mashabiki wa soka nchini wakijiuliza lini teknolojia ya usaidizi wa mwamuzi (VAR) itaanza kutumika katika mechi za Ligi Kuu Bara kufuatia makosa ya kibinadamu yanayoonekana mara kwa mara, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefichua kuwa zimebaki hatua mbili kabla ya kuanza kuitumia. …

Read More

ENDELEENI KUIMARISHA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA.

Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuendelea kuimarisha ufuatiliaji wa tathimini ya utekelezaji wa  mitaala iliyoboreshwa ili kuleta matokeo chanya katika jamii. Hayo yamesemwa leo tarehe 4/3/2026 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia  Mhe. Wanu Hafidh Ameir alipofanya ziara ya siku moja katika taasisi hiyo ili kupata uelewa wa majukumu mbalimbali yanayofanywa na…

Read More

Pedro, Barker jeuri ipo hapa

IMEBAKI muda usiozidi saa 48 kabla ya Dabi ya Kariakoo haijapigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, huku makocha wa Yanga na Simba kila mmoja ni kama ana jeuri ya kujivuni jeshi lake katika kumpa furaha huko Zanzibar. …

Read More

Serikali yajifunga kitanzi maji ya uhakiki mradi wa Same–Mwanga–Korogwe

Mwanga. Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanaozungukwa na mradi mkubwa wa maji wa Same–Mwanga–Korogwe wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika wakati wote. Hatua hiyo inalenga kuboresha maisha ya wananchi pamoja na kulinda afya za jamii zinazoishi katika maeneo yanayonufaika na mradi huo. Akizungumza leo Jumanne Machi 17, 2026…

Read More