Zigo la migogoro ya ardhi lashushwa kwa AG, mawaziri

Dar es Salaam. Baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wananchi kuhusu migogoro ya ardhi nchini, Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka viongozi na mawaziri wa kisekta kutafakari na kupendekeza mbinu itakayoleta suluhu ya kudumu. Waliopewa jukumu hilo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Hamza Johari, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya…

Read More

Visumbufu mimea, ndege kwereakwerea kudhibitiwa

Mbeya. Wakati msimu wa mavuno ya mpunga ukianza mkoani Mbeya, Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu nchini, (TPHPA) Nyanda za Juu Kusini imesema imejipanga kukabiliana na wadudu wasumbufu ambao hutokea kipindi cha msimu. Pia, mamlaka hiyo imeeleza namna hatua inazochukua kukabiliana na wadudu wasumbufu katika mazao mbalimbali, ambao wamekuwa changamoto kwa wakulima na mimea…

Read More

Faida ya Madini ya Afrika, Matumaini ya Tahadhari Huku Kukiwa na Misukosuko ya Kijiografia – Masuala ya Ulimwenguni

Ishara nje ya Metallon, moja ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu wa Zimbabwe. Credit: Ignatius Banda/IPS na Ignatius Banda (bulawayo, zimbabwe) Jumatano, Machi 18, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe, Machi 18 (IPS) – Jicho la Afŕika katika madini kama ajenda ya kuwa-yote na-tiba kwa ajili ya ajenda ya maendeleo ya bara linajaribiwa na ustadi wa…

Read More